Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Wanawaiga waidadi wa manzese labdaNamungo wanapeleka moto siyo wa kitoto
Naona wanataka kuwaiga Wydad
AahhaaaaaWanawaiga waidadi wa manzese labda
Nafatilia updatew mkuu nipo safarini
Unabii unakaribia kutimia [emoji28][emoji16]"ntu" na "ntuake" wanakipiga huko
Hakuna la ajabu ushindi lazima upatikane hata kwa maagizo ya waziri [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona kinapanuliwa [emoji1787][emoji1787][emoji28]Kikosi kipana sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji24]
Wew ni mod? Kama jibu ni ndio unatakiwa ujipige ban mnashindwa na Mambo madogo madogoNdio tumeshindwa unakipi cha kuongeza wewe chawa..?
Simkubali refa yeyote mwanamke Tanzania. Si Kwa mfumo Dume Bali Kwa uwezo wao mdogo.Huyu Refa TFF wamemtoa wapi kwani?
Acha uzwazwa