Kama uganga ndio unacheza Simba ambao Kwa mujibu wa CAf ndio timu inayo ongoza Kwa ushirikina Afrika ingekua na kikombe chochote Cha Caf.Uanze na nani wakat mmeshavunja masharti ya mganga wenu wa kutumia jezi nyeusi
Mtachapika mpaka maji muite mma
Kwani we hupati notifications za nyuzi mpya zinazoanziahwa hapa na mashabiki wa Uto?Makolo Yanga imefungwa leo,utosikia anabebeshwa lawama mtu yoyote maana tunajua nini maana ya football,kutokujua mpira kwenu leo hii mnataka tufanane kwa kuanza kuwataja kina aziz ki,aziz ki au wengine uliowataja kwenye liarticle wao ni akina nani hadi ifikie kipindi iwe ajabu wanapofungwa!unaniuliza nilikua wapi kipindi kolos inabutuliwa sikusema maneno sasa mimi makolo inanihusu 😀 na ule ujinga wenu mkifungwa utasikia matola out au babra tuachie makolo yetu!
Usiwe na Papara kama ndege kiparara subiri dk.90
Ndio maana nasikia mayowe hadi huku daah...Kule kule kwenye mashamba ya mpunga jamaa akasukumia ndani mwiko wote!
Wajinga sana haoMechi ijayo ikifika dakika ya 49 wote tutasimama kympigia makofi nabi kusheherekea anniversary ya zile unbeaten
Is the husband of yanga[emoji16]Naomba nipewe defn ya ihefu
Matokeo halisi ni 3-0 kama mechi ingechezeshwa na wale waamuzi wa viwango wa FIFA.Ihefu tumefungwa goli la offside, tumeyimwa penati ya wazi kabisa.
Tuka amua tupambane ninafsi.
Kumbe hizo unbitten ni za mchongo tu basi.
Na bahasha.
Marefa ni wa Yanga.
Bakini na marefa wenu.
Thubutu yenu. Ihefu keshachomoa mwiko nyuma sasa subirini mizingo iwashukie. Hamtakaa muwasahau Ihefu.Kama uganga ndio unacheza Simba ambao Kwa mujibu wa CAf ndio timu inayo ongoza Kwa ushirikina Afrika ingekua na kikombe chochote Cha Caf.
Mpira ni uwekezaji, tunakwenda kuanza Moja na tutavunja un beaten yetu.
Sio monica ni JoyceHaya haya...kampeleka monica Ihefu kweny bonde la mpunga..muda si mrefu kampa katubu wake...leo hii watu wamepanda hadi ndege kukipeleka ihefu
hiloooooooView attachment 2430971
Moja ya kuchora chini vijana washavunja kibeleko hichoKama uganga ndio unacheza Simba ambao Kwa mujibu wa CAf ndio timu inayo ongoza Kwa ushirikina Afrika ingekua na kikombe chochote Cha Caf.
Mpira ni uwekezaji, tunakwenda kuanza Moja na tutavunja un beaten yetu.
Yah...[emoji106]Matokeo halisi ni 3-0 kama mechi ingechezeshwa na wale waamuzi wa viwango wa FIFA.