[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una geuka leo eeeeh? Umesahau ile siku ya [emoji629]na simba? Wee n utopoloooo uskataeeeeeKivipi tena jamani mie sio ganga wala simba mie mpenzi wa mpira bwa a....ilikuwaje tena unbeaten ikavunjwa
Ah wee mie sina ujinga wakupenda timu za miamala....naburudishaga genge tuu la wapenda mpira. Sasa nipo zangu qatar naangalia wanaojua mpira.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una geuka leo eeeeh? Umesahau ile siku ya [emoji629]na simba? Wee n utopoloooo uskataeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada mbona unatufanya sisi watoto wadogo Kwamba atujui chochote na atufwatilii mpira uko duniani ivi ni kweli akuna timu iliyofika unbeaten 50 kweli kweli au iyo dunia ya wapi?Dharau zimetuponza, dah!
Hata hivyo hakuna timu duniani iliyofika unbeaten 50 acheni hashuo makolo
Hawa walipiga kelele sana.
😀😁😂🤣DaimaMbeleNyumaMwiko
Povu kali sana bahati mbaya nguo zote nimefua mie kwa hiyo baki nalo mwenyeweeeeeeeeeeeDada mbona unatufanya sisi watoto wadogo Kwamba atujui chochote na atufwatilii mpira uko duniani ivi ni kweli akuna timu iliyofika unbeaten 50 kweli kweli au iyo dunia ya wapi?
Au ni haji manara kubwa la maadui na record zake za uongo kakuaminisha.??
Au ni dunia ya pale avic town
au jangwani moja pale depotivo la utopolo kama ni dunia iyo ni kweli lakini dunia hii tunayoishi leo sio kweli
aiseeeee what is this au kipigo kule mbalali kimekua overdose
Any way nikusahihishe japo utachekwa
AC Milan Wana shikilia record ya dunia
na unbeaten 58 ok.
Tena sio unbeaten za mchongo mchongo
Bila Shaka umeelewa.
Hii kauli ilitoka hata kabla atujafikisha unbeatean 40Ukifungwa wewe ndio unaelewa kuwa mpira una matokeo matatu?
Ikifungwa Simba, inakuwa Simba mbovu, Kanoute sio Central defender mzuri, Simba hamna viwango ni kelele tu, Mgunda sio kocha
Halafu wewe ukifungwa ionekane bahati mbaya, unataka upate treatment za kipekee ubembelezwe sio?
Kusema nilikuwa na kiu kuiona Yanga inafungwa Yes ni kweli nakubaliana na wewe. Napenda sana kuona nyinyi mnafanya hovyo kama ambavyo nyinyi mmekuwa miki wish dhidi yetu
Mayele ni striker mkali anapiga hatrick, yuko wapi leo kwani hakucheza?
Tuisila ameanza kurejea kwenye form yake. Fomu gani? Ya nida au?
Aucho ni bonge la Defense midfield, ndio kwanza Nabi akaona huyu ni moja ya sababu ya kufanya tufungwe ikabidi amtoe akachome mahindi.
Na bado mmepewa na bao la offside vinginevyo mlikuwa mnakufa 2 mtungi
Kumbe mmezoea kupigwa na washuka daraja ila sio Simba..hamko serious na huo mwaka haupo Simba ilitaka kushuka daraja.Hata Simba ilitaka kushuka daraja tukaiokowa, nadhani umri wako huwezi kulijuwa hili.
Mlifungwa kwa uwezoUmri wako huwezi kuyajuwa haya, umeijuwa Simba ya Mo Dewji.
Mwaka 1989 Yanga ndio iliibeba Simba mechi ya mwisho isishuke daraja, waulize mikia wenzako wenye umri kukuzidi wakwambie.
Kuna muda mlikuwa mnatamba humu kuwa Yanga kufungwa mpaka mahakamani, jana mmefungwa mnaanza kutuletea maneno ya kujifarijiHii kauli ilitoka hata kabla atujafikisha unbeatean 40
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unapenda kujizima data weee, mcxcieeeeewAh wee mie sina ujinga wakupenda timu za miamala....naburudishaga genge tuu la wapenda mpira. Sasa nipo zangu qatar naangalia wanaojua mpira.
Sasa duh safari yakutoka mbeya mpaka dar imekuwa chungu. Naona mwambusi kaamua kulipiza kisasi kwa yale waliyomtendea
Mihogo Fc Na Kabwili Fc mmepigwa mande mbele na nyumaaaaa.Naona unga FC mmepata pa kujifichia wiki nzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ya CAF makund, na kutofungwa na simba yanakujajee hapaaaa? Ko kipigo cha jana kime ku overdose hivyo?Niko powa kabisa, hatuna cha kuwadai wachezaji wetu na kocha, unbeaten 49 na kuingia makundi CAF confederation, na kutofungwa na Simba tuko very comfortable.
Mlifungwa kwa uwezo, usileteee uongo wako hapa wee baba, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umri wako huwezi kuyajuwa haya, umeijuwa Simba ya Mo Dewji.
Mwaka 1989 Yanga ndio iliibeba Simba mechi ya mwisho isishuke daraja, waulize mikia wenzako wenye umri kukuzidi wakwambie.
Data ipo hewani full time. Mzima wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unapenda kujizima data weee, mcxcieeeeew
Nimecheka mnooo.
Mihogo Fc Na Kabwili Fc mmepigwa mande mbele na nyumaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],