Unachokosea ni kuleta ucheshi kuonesha kuwa hujaumia
Ulijua utafungwa ila hukutegemea utafungwa na timu inayoshuka daraja
Lomalisa vipi?
Mi niliwaambia msipagawe na viwango vya msimu, mkapapalika kila siku mnakuja na nyuzi mpya kumsifia
Haya Kisinda ambaye mlikuwa mnasema ame recover naye vipi?
Au mliaanisha ali recover data alizofuta unexpectedly?
Azizi Ki so milikuwa mnampa sifa ana mikimbio, enhee kaitumiaje?
Na yule black Maguire naskia mipira inampita juu hana habari na tege lake watu wanashauri awe anaingia na parachuti kufanya blocking kwenye mipira ya juu.
Nabi naye naskia alichachawa mpaka akapata yellow card, sasa alichachawa ili iweje kama walijua unbeaten haiwezi ku last forever?