FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Unachokosea ni kuleta ucheshi kuonesha kuwa hujaumia

Ulijua utafungwa ila hukutegemea utafungwa na timu inayoshuka daraja

Lomalisa vipi?

Mi niliwaambia msipagawe na viwango vya msimu, mkapapalika kila siku mnakuja na nyuzi mpya kumsifia

Haya Kisinda ambaye mlikuwa mnasema ame recover naye vipi?

Au mliaanisha ali recover data alizofuta unexpectedly?

Azizi Ki so milikuwa mnampa sifa ana mikimbio, enhee kaitumiaje?

Na yule black Maguire naskia mipira inampita juu hana habari na tege lake watu wanashauri awe anaingia na parachuti kufanya blocking kwenye mipira ya juu.

Nabi naye naskia alichachawa mpaka akapata yellow card, sasa alichachawa ili iweje kama walijua unbeaten haiwezi ku last forever?
Wewe jamaa hujui mpira,huwezi kuwahukumu wachezaji kwa sababu tu timu imefungwa,unataka kusema hamjawahi kufungwa miungu yenu chama,inonga na sakho wakiwa uwanjani,umeandika article kubwa halafu limejaa pumba tupu,
 
Sijui mpira ndio. Na wala sio aibu

Na hilo nakubali kuishi nalo na ndio maana sina tofauti na nyie mliofungwa leo. Msininyanyapae mimi ni mwenzenu. (Wote hatujui)

Simba imefungwa na Azam nyie hamkuwahi kusema maneno hayo unayoyasema leo hapa

Wote mlicheka na ikawa sherehe kwa upande wenu na zaidi mkatuongezea na vijembe kukoleza makaa ya moto.

Leo hii umefungwa unaanza kunikumbusha ethics za mpira. Ulikiwa wapi kuyasema haya kipindi Simba inafungwa na kutoa sare?
 
Pumbavu hyu unapata wapi nguvu wa kubishana nae njoo kwenye Uzi wa FIFA
Usimdanganye mwenzako, uzi wa FIFA hauwezi ukawaletea faraja leo.

Wote tunafahamu kupoza machungu ya Club yako ya ndani kufungwa hakutegemei na matokeo mazuri utayopata kwenye timu za nje

Simba ilivyofungwa mlifanya Diwali kila kona, leo hii mmefungwa mnaanza kutuwekea mipaka ya utaratibu gani wakufata

As long as hatutumii lugha chafu nyie vumilieni tu ndio mipira hii ilivyo
 
Au pochi nene la mihogo fc wamelikataaa ihefu wakaamua wame mchele wao tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ingekuwa tunatoa pochi kweli, ama bahasha wengine mnavyoiita. Hawa Ihefu hawana ubavu wa kukataa.
Basi tu kila kitu kina sababu, na leo ukomo wa umbeaten sababu imekuwa Ihefu...
 
Sijui mpira ndio. Na wala sio aibu

Na hilo nakubali kuishi nalo na ndio maana sina tofauti na nyie mliofungwa leo. Msininyanyapae mimi ni mwenzenu. (Wote hatujui)

Simba imefungwa na Azam nyie hamkuwahi kusema maneno hayo unayoyasema leo hapa

Wote mlicheka na ikawa sherehe kwa upande wenu na zaidi mkatuongezea na vijembe kukoleza makaa ya moto.

Leo hii umefungwa unaanza kunikumbusha ethics za mpira. Ulikiwa wapi kuyasema haya kipindi Simba inafungwa na kutoa sare?
Makolo Yanga imefungwa leo,utosikia anabebeshwa lawama mtu yoyote maana tunajua nini maana ya football,kutokujua mpira kwenu leo hii mnataka tufanane kwa kuanza kuwataja kina aziz ki,aziz ki au wengine uliowataja kwenye liarticle wao ni akina nani hadi ifikie kipindi iwe ajabu wanapofungwa!unaniuliza nilikua wapi kipindi kolos inabutuliwa sikusema maneno sasa mimi makolo inanihusu 😀 na ule ujinga wenu mkifungwa utasikia matola out au babra tuachie makolo yetu!
 
Makolo Yanga imefungwa leo,utosikia anabebeshwa lawama mtu yoyote maana tunajua nini maana ya football,kutokujua mpira kwenu leo hii mnataka tufanane kwa kuanza kuwataja kina aziz ki,aziz ki au wengine uliowataja kwenye liarticle wao ni akina nani hadi ifikie kipindi iwe ajabu wanapofungwa!unaniuliza nilikua wapi kipindi kolos inabutuliwa sikusema maneno sasa mimi makolo inanihusu [emoji3] na ule ujinga wenu mkifungwa utasikia matola out au babra tuachie makolo yetu!
Kunywa maji, pumzika.
 
Back
Top Bottom