FT: NBC Premier League | Yanga SC 3 - 2 Mashujaa FC | KMC Complex | 19.12.2024

Yanga Leo mtatuumiza kwa jinsi tunavyominya mananii yetu haya jamani.
3-2 na kipa haeleweki?
 
Reactions: K11
Kipa sijui alilala kitambaa cheupe na hawa jamaa naona kama wameambiwa wakifika karibu na goli wapige.
 
Reactions: K11
Azizi Ki ana presha kubwa sana ya kufunga, imemuathiri hata kwenye kutoa pasi
 
Huyu khomein ni mjukuu wa Ayatollah? Aisee akija kupangwa kimataifa huyu anakunya mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…