FT: NBC Premier League | Yanga SC 3 - 2 Mashujaa FC | KMC Complex | 19.12.2024

FT: NBC Premier League | Yanga SC 3 - 2 Mashujaa FC | KMC Complex | 19.12.2024

Yanga Leo mtatuumiza kwa jinsi tunavyominya mananii yetu haya jamani.
3-2 na kipa haeleweki?
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Kipa sijui alilala kitambaa cheupe na hawa jamaa naona kama wameambiwa wakifika karibu na goli wapige.
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Huyu khomein ni mjukuu wa Ayatollah? Aisee akija kupangwa kimataifa huyu anakunya mtu
 
Back
Top Bottom