FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

Kocha alishaongea mapema anataka mpira safi na magoli na ndicho kinachotokea.

Mambo ya kumtegemea Mayele hayatakiwi wachezaji wote uwanjani mwenye nafasi anapaswa kufunga goli.

Ukitegemea mfungaji mmoja akishawekwa mfukoni mmekwisha.

Huu ndio wastani mzuri wa wafungaji magoli kwenye mechi unaotakiwa siku zote.
Chezeeni mpira, umilikini mpira, utawaleni mpira ili yeyote kati yenu aweze kufunga
 
Kunywa maji kolo usije ukatufia hatuna majanvi ya kuwapa wageni [emoji28][emoji1787][emoji1787]
Sawa. Utopolo
Nishakufa kwenye ngao ya jamii Tanga.
Utopolo ni bingwa wa ngao ya hisani Tanga.
😁😁😁😁
Hongereni
 
Back
Top Bottom