FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

Hongera scouting ya YANGA,... kama pia mlimkosakosa NGOMA bas mmeajiri i SCOUTING maridadi...
 
Hii mechi Yanga watakuwa wameinunua!
Alisikika kichaa mmoja akisema hayo.

Kwa leo wanaSimba tutulie tu, watani wanajaribu mitambo yao ya mabomu kwa kurusha mabomu mochwari.
[emoji1787] Mtasem yote adi akili zifike mwisho
 
Ndugu zangu wapendwa siwaoni hapa.
Kalpana upo wapi?
Kocha alishaongea mapema anataka mpira safi na magoli na ndicho kinachotokea.

Mambo ya kumtegemea Mayele hayatakiwi wachezaji wote uwanjani mwenye nafasi anapaswa kufunga goli.

Ukitegemea mfungaji mmoja akishawekwa mfukoni mmekwisha.

Huu ndio wastani mzuri wa wafungaji magoli kwenye mechi unaotakiwa siku zote.
 
Mabao 5

Pass 2346
On target 12
Off target 22 [emoji2957]
Clean sheet [emoji736]

Yanga bingwa 2023/24 [emoji169][emoji172]
Sawa. Hata ngao mlisema hivyo hivyo
KMC ni timu bora kuliko timu zote Tanzania. Ukiifunga KMC basi hakuna timu yoyote itakufunga hata Al hilal unaifunga kirahisi.
 
Back
Top Bottom