FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

Hii KMC ina haki ya kufungwa nyingi sana. Wanacheza 'Amateur' football..!
Na huyu 'Msomali' hafiki mbali na hii timu, Inaonekana ni mzuri kwenye kufundisha timu za ' Watoto' misingi ya mpira!
 
Wanachangamshaje? Unadhani ni kama wa nyie utopolo mnavyojazana kwenye thread ya Simba inapocheza na kazi yenu ni kuitoa makosa kibao huku mkijifanya ni mashabiki wa Simba. Tumesha wajueni.
Nimejaribu kusoma mara mbili mbili sina nilichoelewa..
Ulitaka kuandika nini Mkuu?
 
Mudathiiiiiiiiiiir kambaaaaaaaaaaaaaaa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Yanga 4 KMC 0
 
Back
Top Bottom