FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

Yanga wanapata free kick eneo zuri Sana... Ngoja tusubiri
 
Hadi sasa Mashabiki wa Simba ndiyo wanachangamsha huu Uzi...
Wanachangamshaje? Unadhani ni kama wa nyie utopolo mnavyojazana kwenye thread ya Simba inapocheza na kazi yenu ni kuitoa makosa kibao huku mkijifanya ni mashabiki wa Simba. Tumesha wajueni.
 
Back
Top Bottom