Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kama Hafidh Konkoni ataendea kusugua benchi, basi nitaamini Yanga imekosa mbadala wa Fiston Kalala Mayele.
Maana Kennedy Musonda na mwenzake Clement Mzize walikuwepo msimu uliopita. Na mara zote walikuwa ni chaguo namba 2 na 3 baada ya mshambuliaji namba 1 (Mayele).
Na katika hili, basi nitaamini labda huyu Konkoni alikuwa siyo chaguo la kocha Gamondi. Maeneo mengine yote, hakuna tatizo lolote lile. Shughuli ipo kwenye mshambuliaji mwenye kiwango kama cha Mayele/au hata kiwango cha kumzidi kabisa huyo Mayele.