FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

Pale mbele Yanga wangepata forward hata mwenye Kariba ya Nchimbi wangeshafunga Goli tano
 
Huyu mchezaji wa KMC mbona kafanya faulo ya kipumbavu hivi?
 
Mudathiri amepigwa ngumi palee

Imekuwaje Refa hajatoa maamuzi juu ya tukio hilo?
 
Musonda anahitaji afanyiwe counselling [emoji1787]
Huyu angeendelea tu kutokea pembeni. Na siyo kuchezeshwa kama mshambuliaji wa katikati. Maana tofauti yake na Mzize kwenye utulivu, ni ndogo sana.

Binafsi bado sijaridhika kuona mchezaji aliyesajiliwa kama mbadala wa Mayele, akisugua benchi! Halafu timu inaendelea kuchezesha wachezaji ambao hapo mwanzo walikuwa ni chaguo la pili kwa Mayele.
 
Back
Top Bottom