FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

Ilipigwa Kona Aziz Ki akawachambua kama karanga akapiga V pass mabeki watano wakashindwa kugusa mpira ukatua miguuni Kwa big brain defender Dickson Job akaachia shuti kama kombora kidogo lichane nyavu aisee...
Yanga wakacheze EPL [emoji1787][emoji91][emoji91]
 
Mnatuchanganya

Kwa hiyo ni Aziz key au d.job aliyefunga hilo gol???
 
We unaangalia marudio ya Club Africain nini?

Goli limefungwa na Dickson Job tena kulikuwa na offside
Job kafunga ndio kwani akifunga Job si ndio kafunga Aziz Ki maana yake Yanga imeshinda 🤫
 
Ilipigwa Kona Aziz Ki akawachambua kama karanga akapiga V pass mabeki watano wakashindwa kugusa mpira ukatua miguuni Kwa big brain defender Dickson Job akaachia shuti kama kombora kidogo lichane nyavu aisee...
Yanga wakacheze EPL [emoji1787][emoji91][emoji91]
Muuza Viat kafunga Dickson Job
 
Ilipigwa Kona Aziz Ki akawachambua kama karanga akapiga V pass mabeki watano wakashindwa kugusa mpira ukatua miguuni Kwa big brain defender Dickson Job akaachia shuti kama kombora kidogo lichane nyavu aisee...
Yanga wakacheze EPL [emoji1787][emoji91][emoji91]
Nafurahinsana kuskia hbtr hzo niko kwa safari nafatilia Uzi vzr sna yanga daima
 
Back
Top Bottom