Mabingwa watetezi Yanga SC wanaanza mbio za kulitetea taji la NBC kwa kumenyana na KMC.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 katika Dimba la Azam Complex
Katika mechi 10 walizokutana kwenye ligi kuu tangu wapande daraja msimu wa 2018/19, KMC wameshinda mara moja pekee dhidi ya Yanga, huku sare zikiwa ni mbili tu….!!!
View attachment 2726406
Je, leo itakuwaje?
Kikosi kinachoanza leo dhidi ya KMC FC ni hiki hapa
View attachment 2726413
Karibuni wadau kwa update za mechi hii ili tuliombali na TV tujue kinachoendelea