FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

Gooola Musonda anakosa pale dah...
Hii Yanga ni zaidi ya Man city [emoji16]
We naye kwa uongo si bora hata ungemtaja Azizi Ki

Musonda kwa pale mbona alikuwa na hard target?
 
Bado ni bila bila Ila mpira unapigwa nusu uwanja hapa Forward za KMC Wamerudi kuwasaidia mabeki....
Eeeenhe Leo KMC maji wataita mmah
 
Kibabage hakabiki dah anapanda na kushuka kama Zinchenko mambo ni moto jamani waiteni Faya [emoji91]
 
Azizi Ki anabadilisha badilisha upande

Inaonekana role model wake ni Chama huyu
 
Aziz Ki amekua mwiba mkali hapa anazunguka dimba kama Steven Gerrard aisee Leo ndo Leo
 
Kambaaaaaaaaaaaaaaa ni hatari hii Yanga weka mbali na watoto [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Job gooooooal
 
Back
Top Bottom