FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

Kwenye comment zangu zote nimeitaja Confederation.

Vp ww ushawahi kufika.....? Pamoja nakuota moto kwenu.
Kumbe ni confederation? Japo hatujawahi kufika, ila sio shida kwetu, ingekua champions league hapo sawaa.

Wee champions league umewahi kuingia makundi?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom