Grady
Member
- Nov 26, 2016
- 5
- 14
Yanga ndio bingwa wa muda wote mara 29, makolo mara 22, Yanga ndio club ya kwanza kuanzishwa baadae ikaja Simba. Alianza kuumbwa Mwanaume baadae mwanamke.Watu wanajivunia kucheza na mabingwa wenzao CAF champion league na kucheza African Super Cup.(Timu bora zote zipo hapa).
Wewe unajivunia kucheza shirikisho kupata medali? timu zilizoshindwa Champion league na walioshika nafasi ya 3 na 4 kwenye ligi zao. Duh!
Simba imepata African Super Cup na 4 bilion km zawadi ya African Super Cup
Madam kolo na wenzake wanasaidiwa na feminists kujitutumua ili waonekane nao wanaume kumbe wapi. Madam kolo na wenzake wote poleni