FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

1. Kipindi Simba inapigwa 3, Yanga alikuwa anacheza kombe gani? Ni mwaka gani?
Simba ilifika robo fainali, yanga kwanini hakufika?
2. Yanga na Simba walipangiwa CAF Champion League. Kwanini Yanga alienda kucheza Shirikisho? Unafikiri Yanga alikuwa mzuri kuliko Simba? Kama Yanga alifanya vizuri kuliko Simba, kwanini Yanga hachezi African super cup?

Yaah mimi nilikiwa mzuri kuliko wewe kutoka na historia niliyo iweka ambayo ww haukuiweka ulipopewa nafasi baada ya kugongwa tatu moja.

Na ndio maana kuthibitisha hilo kwamba mimi nilikuwa mzuri kuliko ww ,nikachukua ubingwa wa ligi na nikafika fainali ya CAF confederation.

Au ww msimu uliopita unakitu gani cha kujivuna mbele ya Yanga.
 
Kipindi hicho Simba anaota moto nyie mlikuwa mnacheza shirikisho au Champion league?
[emoji16][emoji16][emoji16]
Mepangiwa kucheza CAF champion league pamoja na Simba. Yanga alicheza mechi mbili tu ya Zalan na Al hilal. Akatolewa. Simba amecheza mpaka robo fainali CAF Champion league.
Vile km yale ya zalan kwa Asas walikuwa hawana uwanja mechi zote home na away mecheza hapa hapa bongo. Juzi mecheza Djibout
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wacha nichekee. Wanajiita wanaume. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwa akili ya utopolo wanafikiri Confederation ni kubwa kuliko Champion League.
wanaume wameshindwa kucheza Caf champion league wanacheza kombe la washindwa.
Kwahiyo na nyinyi wanaume mtacheza African Super Cup?
ha ha ha ha ha ha ha
Aliyeita utopolo hakukosea
Wanaume wote wamecheza CAF Champion League na wanaume washoka wanacheza African Super Cup
Inatunga kutokea wapi , watu tushatoka msimu uliopita wewe unawaza yaliopita
 
Yaah mimi nilikiwa mzuri kuliko wewe kutoka na historia niliyo iweka ambayo ww haukuiweka ulipopewa nafasi baada ya kugongwa tatu moja.

Na ndio maana kuthibitisha hilo kwamba mimi nilikuwa mzuri kuliko ww ,nikachukua ubingwa wa ligi na nikafika fainali ya CAF confederation.

Au ww msimu uliopita unakitu gani cha kujivuna mbele ya Yanga.
Watu wanajivunia kucheza na mabingwa wenzao CAF champion league na kucheza African Super Cup.(Timu bora zote zipo hapa).

Wewe unajivunia kucheza shirikisho kupata medali? timu zilizoshindwa Champion league na walioshika nafasi ya 3 na 4 kwenye ligi zao. Duh!

Simba imepata African Super Cup na 4 bilion km zawadi ya African Super Cup
 
Mliumia sana kumbe ,nyie si mlipigwa tatu moja na Makirikiri mkapewa nafasi nyingine ya confederation kama tuliyopata sisi matokeo yake mkaota moto katikati ya uwanja na kuchoma pitch ya watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuvuka makundi CL sio level zenu, nimekukumbusha mwaka huu mkitolewa hamuendi shirikisho,

Mngekua mmechukua kombe, ningeumia, kufika final ni kusindikiza mtu had mwisho wa safari yake, huna tofauti na aliyetolewa mwanzoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Onesha kombe la CAF, nikupee 5mil cash.
 
Magoli ya kununua
e34dcb528624416ba3ae5abe014d6fd4.jpg
 
Yaah mimi nilikiwa mzuri kuliko wewe kutoka na historia niliyo iweka ambayo ww haukuiweka ulipopewa nafasi baada ya kugongwa tatu moja.

Na ndio maana kuthibitisha hilo kwamba mimi nilikuwa mzuri kuliko ww ,nikachukua ubingwa wa ligi na nikafika fainali ya CAF confederation.

Au ww msimu uliopita unakitu gani cha kujivuna mbele ya Yanga.
Timu zilizofanya vizuri kimataifa zitacheza African Super Cup.
Yanga walicheza shirikisho fainali wakavaa medali.
Kwanini hawapo African Super Cup?
 
Simba sio mbovu tatizo wanalinganisha na Yanga, lazima ionekane mbovu tu.
Nisaidie hapa
Timu zilizofanya vizuri kimataifa zitacheza African Super Cup.
Yanga walicheza shirikisho fainali wakavaa medali.
Kwanini hawapo African Super Cup?
 
Back
Top Bottom