FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023


Yaaani tatzo simba walipo pale ndio wanaona wamefika
 
Kwa Yanga hii....!
Nina hofu TFF wanaweza kuifungia Yanga miaka 3 kucheza na makolo
 
Usijifariji ndugu.
Simba hajacheza Confederation.
Yanga alicheza CAF Champion akashindwa league na akaenda Confederation.
Ukicheza na Azam na basi unaona umekuwa sana kimpira?
Kwahiyo kucheza Confederation mpk fainali unaona umemzidi Simba?
Kipindi Yanga anacheza shirikisho fainali Simba anacheza African Super Cup
 
Sept 7, 2022
Simba 2
Kmc 2

Kipind hicho nadhan kmc walikuwa ligi ya mabingwa afrika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli alikuwa ligi ya mabigwa. Mwezi wa 10 tunacheza naye African Super cup
Yanga alipoifunga KMC alicheza CAF champion league mpk fainali.
Al hilal alifungwa na Yanga 3 na kwao akapigwa mbili bila. Yanga ikaingia kwenye makundi champion league
 
Kwani wewe Confederation ile mpaka ukaota moto katikati ya uwanja si ulipigwa tatu moja kwa Mkapa na wacheza Makirikiri wa Botswana,ndio ukapewa nafasi nyingineConfederation matokeo yake ukalizalilisha taifa kwa kuota moto.

Yaah Simba nimemzidi kwani kwa mujibu wa CAF wenyewe kwenye page zao za Social networks na mtangazaji aliyekuwa akitangaza mechi ya fainali ya CAF confederation, wakati yanga ikivaa medali alisema Yanga ndio timu ya kwanza kutoka Tanzania kufika fainal za michuano ya CAF.
 
Huyu ni MBUMBUMBU hajui chochote achana nae
 
CAF ipi? Uwage unafafanua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ile confederation kipindi Simba anaota moto. Ulikuwa unacheza Champion league au Shirikisho?
Unajaribu kujilinganisha na Simba lkn bado unapelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…