Hao hao. π πUnamaanisha kolo wizards [emoji23]
MatutaNgap ngap kwan nipo busy huku kibaruan
Told yaSawa ngoja tuone kaka.
Huyu refa mpumbavuu...hyo move ya mwisho mlikuwa mmeendaa...
πππ€£π€£π€£π€£
Bado hakosekani mmoja au wawili wa kukosa Penalty upande wa Simba Sc.Kacheza dogo
Ok ok.. hapo sina was was.. Simba anajuaMatuta
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Singida wajinga wametoka pumbafu
Ndio kazi ya mashabiki hiyo yaani kushangilia na kuzomea.Bongo ushabiki bado sana. Yaani hata ligi haijaanza mashabiki wameshaanza kulalamika nye nye nye nye
Yani kama wapigaji watashindwa kutumia hiyo bahati ya Salim kudaka hiyo moja basi watatoka tu, sioni akidaka nyingine.Dogo acheze nyingine