Unaangalia mpira gani mkuuSimba mbovu haijawahi kutokea! Singida washindwe wenyewe tu!
Watu wako kwenye vijiwe vya kahawa.[emoji1]Ila tanga hakuna mahaba kabisa na mpira, toka Jana uwanja haujai
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Hehehe, aiseeh kazi ipo leo[emoji1].Tumefungwa
Bado hamjasema..!Mbeleko zimeanza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
OffsideNi goal ama?