FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Kifupi nashangaa sana mashabiki wa simba sijui wanajivuniaga nini na li timu hovyo la karne kama simba...kifupi naiona kama paka shume tu...simba inalidhalilisha sana jina la simba mnyama wa porini, hii simba naichukia vizuri mno yaani
 
Nguvu za kuichukia Simba hamishia kwenye timu yako unayoipenda uta enjoy life

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kifupi nashangaa sana mashabiki wa simba sijui wanajivuniaga nini na li timu hovyo la karne kama simba...kifupi naiona kama paka shume tu...simba inalidhalilisha sana jina la simba mnyama wa porini, hii simba naichukia vizuri mno yaani
Boss, ukisikia mwanamke wako anasema anamchukia mtu halafu huyo mtu ni mwanaume mwenye heshima hapo mtaani kwenu utawaza nini?

Anyway usijibu, mashabiki wa simba tuna jibu.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Boss, ukisikia mwanamke wako anasema anamchukia mtu halafu huyo mtu ni mwanaume mwenye heshima hapo mtaani kwenu utawaza nini?
ndio akili za wanasimba hizi...we acha u kolo...simba na mwanamke wapi na wapi!? si bure leo mtavuliwa chupi na singida ..tupo hapa....mark this comment
 
Nitafanya petition ya simba kuamriwa mara moja kuacha kutumia jina la simba...mnamdhalilisha sana mnyama wa mwituni...muitwe paka shume fc, au mbweha sports club...shwain
 
IMG_4985.jpg

Simba mwenyewe ndio uyu
 
Simba wanamaliza mechi kipindi cha kwanza tena dk 20 za mwanzo
 
Back
Top Bottom