FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Kila la kheri Mnyama,
Namtakia mema General Moses Phiri apige saluti za kutosha leo.
 
Fanyeni makusudi mfungwe leo mtuachie huyo kolo tumuonyeshi kuwa Uturuki alikwenda kuchumbiwa tu.

Fanyeni makusudi hata ya kumpiga ngumi refa
 
17EE78EA-369F-47F7-8966-5C5DEBA28102.jpeg
 
Simba Leo hawaelewi washinde au wafungwe.. matokeo yoyote yanawapa simanzi
 
Uto kunyweni panadol kabisa maana pira litakalo pigwa hapo linatisha
 
Kikosi kizuri naomba tu leo Saido awe na wakati mzuri maana Chama leo hayupo.

Kibu ajitahidi asimuangushe kocha lazima aoneshe sababu kwanini anaaminiwa na kocha.
Kibu ni ngushi aliyechangamka
 
Ila kwenye kiungo kocha angeanza na Ngoma
 
Back
Top Bottom