FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Simba tuna wachezaji wazuri ila kocha hatuna!! Hii mizee ya kizungu inayozunguka uku Africa kutafuta pensheni tu!! Na sisi tunaiabudu kwelikweli! Tuna makocha wazawa wazuri wakina Mgunda ila bado tunayaamini haya madalali ya ulaya!
Wasouth pekee ndio wamefanikiwa kutoka kwenye mawazo ya kuamini zaidi wageni, karibia team zote kubwa pale South zipo mikononi mwa Wazawa.
 
Wanaijeria na Wazambia wamejaa huko Sauzi
 
Back
Top Bottom