FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

Azam hawaeleweki wanachofanya. Yanga ni vile safu ya ushambuliaji haipress kama wanavyofanyaga. Wangeshafungwa Azam.
 
Si elewi hata hili boli likoje
 
huyu kocha wa yanga mpya ananipa wasi wasi sana. what is this kind of football
 
Simba kombe linabebwa kilaini sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…