FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

Baada ya mechi ya leo naambiwa msimamizi wa kombe amekutwa akiandika jina la Simba kwenye hiyo ngao.
 
Nimeona kipa wa yanga anaruka ruka lakin kila akimkumbuka KiBU D mkandaji furaha Huisha
 
Ila Yanga wakicheza kama walivyocheza leo halafu wakakutana na Simba watakufa. Tushukuru Azam pumzi walikata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…