FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

Na Morrison ndio hayupo, tuna winga gani mwingine wa kushoto?
 
Bora sawadogo alitoka dakika ya 20
 
Ngushi anachukua nafasi ya Skudu
 
Jiandae ukiwa huko huko
Nyie AzamFc hebu wafungeni hao Utopwinyo 2-0 ili kuleta utulivu huko Tanga. Ni mimi Greatest Of All Time, Shabiki nguli wa AzamFc kwasasa nikiwa Niamey, Niger.
Jiandae ukiwa huko huko,wenzio wanakalishwa huku mapema kabisa 😂
 
Huyu Sikide kapiga freekick tamu sana.

Diarra ni kipa
 
Azam nao sijui walitaka kujichanganyaje pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…