FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

Msimu huu,, acha nikae kimya tu [emoji23][emoji23]
FB_IMG_16897594613099902.jpg
 
so far nilicho ona. hapa hatuna kocha yanga, the poorest yanga in 2 years. huyu atuache tu.

hizi pasi fupi fupi since when 🚮🚮🚮
Sidhani kama atamaliza mwezi😊😊😊nakubaliana nawe. Farid Musa and Ngushi over Aziz Ki ni disgrace of the highest order!
 
Kwanza mpira ni mbovu, huwez amini kuwa hawa wanaocheza Leo hapa mkwakwani ndio wawakilishi wetu kimataifa, ndio wanaotegemewa kuwa mabingwa wa ligi kuu msimu ujao, lakini kiwango kibovu mno.

Hadi ss hv halftime yanga haijapiga shuti hata moja.

Yanga haina ubora wowote ndio maana Skudu kajivunja mapema.

Kwa hali hii azam wana nafasi kubwa ya kwenda final Leo kama wataongeza umakini otherwise mkishindwa Leo hamtawafunga tena yanga hadi siku ya kiama.
 
Back
Top Bottom