IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,878
- 7,526
yanga ahusiki na ujinga huoSafi sana pigeni haya matakataka ya Tanzania mmekalia simba na Yanga kenge kweli. Simba na Yanga zinatumika kisiasa kuwapumbaza watanzania wasidai tume huru na katiba mpya. Dawa ya hizi timu ziendelee kufungwa. Berkane piga haya matakataka
Mpaka mseme mlikimbia nini tarehe 8. Msiwe na shaka, bodi ya ligi watawaokoa. πππIfike mahala Camara naye awe mkali kwa mabeki pale langoni. Hamza kafanya upuuzi pale ila humuoni Camara akimuonya. π
Utaruka na pumbunyo zako, mshakazwa tayari πΉπΉMuda wakubana pumbuz simba ashinde turuke na warembo wa simbaaaa
HahahaSafi sana pigeni haya matakataka ya Tanzania mmekalia simba na Yanga kenge kweli. Simba na Yanga zinatumika kisiasa kuwapumbaza watanzania wasidai tume huru na katiba mpya. Dawa ya hizi timu ziendelee kufungwa. Berkane piga haya matakataka
Acha wakalale tu, inawezekana ikawa fainali ya aibu zaidi kuwahi kutokea Africa πUsiseme kwa sauti wanaweza wasirudi kipindi cha pili