FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Hivi simba wanachezaje? Watu wanapress high kwann upige pasi ndogo?
 
Mwalimu, tayari tumeshajua kuhesabu mpaka ith-naan
 
Safi sana pigeni haya matakataka ya Tanzania mmekalia simba na Yanga kenge kweli. Simba na Yanga zinatumika kisiasa kuwapumbaza watanzania wasidai tume huru na katiba mpya. Dawa ya hizi timu ziendelee kufungwa. Berkane piga haya matakataka
Yapigwe kabisaa japo mi Mwenyew msimbaz lakin angalau natembea na No reforms
 
Mgutoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Upo wapi mzee mgutoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Twafaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Njoo utuokoeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hawa waarabu si watu. Yaani kwa dakika 20 hatujapata hata mpira wa kurusha. Hawa jamaa wanakabia juu sana.

Tuokoeeeeeeeeeeeeeeeeee bodi ya ligiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Babeki, leo madunduka taulo, linawadondoka mbele ya wakwe.
 
Walidharau mechi ona sasa kwa huu moto wanaopelekewa, wasipewe maji kbs👿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…