Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,058
- 2,637
Hii sio πΈYaani makolo walitakiwa wale 4 kipindi cha kwanza
Ni ngumu kutoka ila tuishi kwa matumaini maana hakuna namna.Sjui tunatokaje leo
Kweli kama goli la pili sababu ni uzito wa Hamza,ule haikuwa mpira wa kuukosaIla timu zetu tuna cha kujifunza wenzetu wepesi sanaa kwenye kusukuma gozi
Mechi bado sana hii ....Mwenye taarifa ya OKW BOBAN SUNZU Kalpana Makiwendo Bill Mtoto halali na hela Mshana Jr kinje ketile Tsh Scars Proved na wengine wote wa madunduka, hali zao zikoje huko? Wako tayari kunyanyua vikombe vya chai? Walijiamini hawa ππππππππ
Tatizo la simba kipindi cha pili ndo wanapoteana mazima.Kipindi cha pili tuna come back π
Angalie usije kupata testicular tumor.Tulia weye....hapa ni mwendo wa kubana pumbuz mpaka magoli yapatikane
Hawa berkane ni wamoto wewe kaza shingo wakati berkane wanamalizia fainali hapo kwaoSimba ilipoteana dakika za mwanzoni ila hawa vitoga hawana mpira wakutisha
Tunaweza kuwakazia wabaki na huto tugoli twao tuwili afu tuje tuwapige 3 nyumbani.
Mechi bado sana hii ....Mwenye taarifa ya OKW BOBAN SUNZU Kalpana Makiwendo Bill Mtoto halali na hela Mshana Jr kinje ketile Tsh Scars Proved na wengine wote wa madunduka, hali zao zikoje huko? Wako tayari kunyanyua vikombe vya chai? Walijiamini hawa ππππππππ
Ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaaaa jua Kavu imepenya dadeqqqq π§‘π§‘π§‘π§‘π§‘π§‘πͺπͺπͺ!Hii sio πΈ
Tuko kama tulivyoβ€Mwenye taarifa ya OKW BOBAN SUNZU Kalpana [USER=316420]Makiwendo[/USER] Bill Mtoto halali na hela Mshana Jr kinje ketile Tsh Scars Proved na wengine wote wa madunduka, hali zao zikoje huko? Wako tayari kunyanyua vikombe vya chai? Walijiamini hawa ππππππππ
Hii sio nini?Hii sio πΈ
Dkk za mwanzoni walikuwa na wenge hata utulivu ulikuwa chini mno.Simba ilipoteana dakika za mwanzoni ila hawa vitoga hawana mpira wakutisha
Tunaweza kuwakazia wabaki na huto tugoli twao tuwili afu tuje tuwapige 3 nyumbani.