FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Hapo Mhindi anajua hakuna maajabu kwenye soka. Angekuwa anaamini kwenye maajabu, asingekubali kirahisi tu kupoteza bilioni 1.
 
Kwa kua wewe ni mwanga una nafasi ya kuolewa na mganga ili umsaidie kwenye shughuli za kuinua kipato chenu cha familia. Mkalie kitu kizito...simba wa mjini ni wa kwenye zoo tu!
Kalale mbele kapuku. Usiniletee stress za kukosa pesa toka magetoni utafute pesa
 
Game ni saa ngapi?
Itaonyeshwa saa ngapi?
Mungu ibariki Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…