Hata mpira hujui kuangalia!Ruvu wamenyimwa goli lao halali kabisa.View attachment 2211485
Ulitaka wawaachie sio.Haka katimu kamekamia mechi! Ukijumlisha na aina ya uwanja, hata tukipata tu sare siyo mbaya.
Mbaya kufungwa.
Huyu Rashid Juma Ruvu ikifungwa ni wa kufukuzaRed card na leo kama kule kwa mkubwa mwingine wa mechi ya jana
Hamjakamiwa bhana, ndio uwezo wenu huo.Haka katimu kamekamia mechi! Ukijumlisha na aina ya uwanja, hata tukipata tu sare siyo mbaya.
Mbaya kufungwa.
Kabisa tunamfuatilia kwa makini😅😅😅 nyie mpo kwa Mayele tu. 😅😅
Ruvu ikifungwa mbona Mkwasa atashangilia tu. Inamaana mzigo toka kwa GSM haujawafikia wachezaji wa Ruvu?
Wanarukaruka na huku Ruvu wapo PungufuKwahiyo yanga shida nini leo!???
Amejitafutia Kadi ya kipuuzi mno ambayo ilikuwa hakuna sababu yaani. Wachezaji wa Afrika bhana..!Red card na leo kama kule kwa mkubwa mwingine wa mechi ya jana
Pole Mayelle fcHawa Ruvu Shooting wangekuwa wanacheza mpira kama hui kwenye mechi zote, basi muda huu wangekuwa wako nafasi ya 2!
Ila kwa bahati mbaya ndiyo hivyo tena! Mara nyingi wanacheza mpira mkubwa dhidi ya timu kubwa pekee!
Ngoja nikufundishe mpira we kilaza,Hata mpira hujui kuangalia!