Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya mechi hii Yanga alikuwa amemzidi simba kwa points 13! (Yanga 55) na simba ana 42! Huku wakiwa wana michezo sawa.Yanga akishinda tofauti ya alama na Simba zitakuwa ngapi?
Shadeeya ajibuGemu dakika ya ngapi?
Basi tuwape ushindi wa mezani wa 3 - 2! Vipi, umeridhika sasa?Jana Simba tungeshinda mechi yetu tungekuwa pazuri leo
Wewe una bifu personal na kaze ulitaka afanyeje sasa?Huyu Fala Kaze Sijui Anaongea Nn Hapa
Mi naona angesepa tu timu inahitaji matokeo yeye analeta mifumo mipya!Mimi kaze si mkubali kabisa zahera ndo alitakiwa awe second Koch sio kaze
Kaze mpelekeni kwa timu ya vijana kwa Mpira wake huu Na fikiri matokeo atakuwa Na pata
Kweli kabisa! Upangaji wa kikosi Kaze umekuwa ni shubiri kwa timu kupata matokeo. Bora arudi Profesa mwenyewe.Bora Leo Adhabu Imeisha Nabi Arudi Kwenye Benchi.
Twambie kosa lake ni lipiMimi kaze si mkubali kabisa zahera ndo alitakiwa awe second Koch sio kaze
Kaze mpelekeni kwa timu ya vijana kwa Mpira wake huu Na fikiri matokeo atakuwa Na pata