FT: Ruvu Shooting 0-0 Young Africans | NBC Premier League | Lake Tanganyika Kigoma

FT: Ruvu Shooting 0-0 Young Africans | NBC Premier League | Lake Tanganyika Kigoma

Sare ya pili mfululizo kwa Yanga. Game ijayo Yanga itafungwa. Imeshakata pumzi ya moto.
Mnampa cha kuongea Masau Bwire na Penart halali imekataliwa kwa hisani ya Refa
 
Yanga akishinda tofauti ya alama na Simba zitakuwa ngapi?
Kabla ya mechi hii Yanga alikuwa amemzidi simba kwa points 13! (Yanga 55) na simba ana 42! Huku wakiwa wana michezo sawa.

Baada ya mechi hii Yanga atamzidi simba kwa points 14 (56), simba points 42! na pia Yanga atamzidi simba mchezo 1.
 
279886838_1035227060719286_3305913085982778680_n.jpg
 
Mimi kaze si mkubali kabisa zahera ndo alitakiwa awe second Koch sio kaze
Kaze mpelekeni kwa timu ya vijana kwa Mpira wake huu Na fikiri matokeo atakuwa Na pata
Mi naona angesepa tu timu inahitaji matokeo yeye analeta mifumo mipya!
 
Nami Na Hakika Kwenye Hizi Game Mbili Tulizochez Nabi Hajahusika Na Amemuachia Kila Kitu Makusudi Kwasababu Ana Kiherehere Sana Huyu Mrundi Na Wakati Uwezo Wake Mdogo.
 
Back
Top Bottom