Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Kuna namna tunastahili kubaguliwa kabisa🤗
Sio kwenye michezo, sio kwenye siasa...Ila Africa daaaah inatia aibu
Nimeyafurahia sana haya matokeo, Morocco amebebwa sana, tangu mwanzo wa mashindano amebebwa mno.Lolote baya limpate Senegal
Morocco huwa ni chama langu ila kwenye AFCON hii wamezingua, wamebebwa mnooo.Hii mitakataka Morocco
Naichukia sana
Safi Senegal 🔥🔥🔥
Mwisho wa ubaya ni aibu
Mijitu imebebwa hadi mechi yao na vibonde TanzaniaMorocco huwa ni chama langu ila kwenye AFCON hii wamezingua, wamebebwa mnooo.
Afrika tunaamini sana katika shortcutSio kwenye michezo, sio kwenye siasa...
Mzee Yoweri Museven ametangazwa kuwa Rais kwa awamu ya 6🤣
Ki mtaa wange tisha ujinga kama huu sio wa kuendekezaSenegal wangekutana na rungu la FIFA wasingeamini. This was embarrassing kwa Africa nzima.