FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Wananchi hongereni
Your browser is not able to display this video.
 
Endeleeni kuteseka tu, na hicho kiingilio kimewekwa makusudi takataka kama wewe msije kutuharibia shughuri yetu.

Makolo wastaarabu na wanaojitambuwa wamekuja kwenye tamasha kuangalia show.
Acha uzuzu ww hujui kama shughuli ni watu ??? Sasa wakiingia watu kidogo huoni kama yanga itakuwa imepata fedheha bara na Zanzibar.
 
Endeleeni kuteseka tu, na hicho kiingilio kimewekwa makusudi takataka kama wewe msije kutuharibia shughuri yetu.

Makolo wastaarabu na wanaojitambuwa wamekuja kwenye tamasha kuangalia show.
Ila jezi ya Simba kali sana [emoji881][emoji881]
 
Naona amenisikia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…