FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Mliosema uwanja utajaa baadae, saa kumi na mbili hii ! [emoji23]
 
Kwamba Jux ndo surprise ?? [emoji23][emoji23]
 
Kwa jinsi alivyojifunua wakati wa utambulisho. Jamaa hamna kitu kaja kwenye Vacation huku Tz na sio kucheza mpira.
Nimejiuliza hivyo pia, huyu jamaa kaja kucheza mpira au amapiano ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…