XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
Acha kulia lia basi mtoto wa kiume [emoji23]Mimi nimeshamalizana na wewe, subiri Zawadi very soon.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kulia lia basi mtoto wa kiume [emoji23]Mimi nimeshamalizana na wewe, subiri Zawadi very soon.
Hii imeenda! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni AIBU KWA TAIFA😅😅😅😅View attachment 2696074
View attachment 2696075
Uwanja bado ni mweupe ndugu msikilizaji. Tuendelee kusubiri, tuwe na subira
Hapa hapa JF, itakuijia mechi ya kirafiki kati ya Yanga na Kaizer Chiefs mishale ya saa moja usiku.
Hakuna kukimbia
Wanatuona mazuzu mbwa hawaView attachment 2696191
Janja ya Admin kuziba jukwaa kwenye picha tumeigundua
Sherehe ya watu wengine wewe inakuhusu nini?Hii sherehe ya leo hata haieleweki
Game ya kaizer chiefs na yanga ni sa ngapi ? Na itarushwa chanrli gani ?
Dstv ya bongo hawaoneshi ?Saa Moja Jioni, Azam HD 1 na DSTV kwa South Africa Pekee
[emoji23][emoji23] waonee huruma bhanaKinachoendelea ni aibu ya mwaka..
Umejuaje kama sio sherehe yanguSherehe ya watu wengine wewe inakuhusu nini?
Wenye akili timamu unawaona?
Ni special kwa ajili ya South Africa.Dstv ya bongo hawaoneshi ?
Dstv ya bongo hawaoneshi ?