FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Kumbe Kaizer Chiefs hawatashiriki kimataifa mwakani? Kumbe walipoteza mechi nne kati ya tano za mwisho?

1690049224667.png
 
Mbona kama nimeona wachezaji wa Yanga waliokuwa benchi wamevaa nguo nyeupe, ni kweli au macho yangu tu? Na hii ni kwa leo tu au tutegemee muendelezo huu?
 
Back
Top Bottom