FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Magugu na ngano havikai pamoja .
Simba Nenda Sisi Zetu Dua
Sisi Daima sisi tuko nyuma yako.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na kwamba mmefurahia sana sisi kufungwa, wengine mkaenda mbali kwa kututukana matusi ya nguoni ila mimi nawatakia heri kwa moyo mkunjufu kabisa.

Go mtani, peperusha bendera vyema & make us proud.

Tanzania first, Tanzania above all.

Peace
Wewe ni mpenzi wa mchezo wa mpira kuliko hata matokeo..... hongera
 
Pamoja na kwamba mmefurahia sana sisi kufungwa, wengine mkaenda mbali kwa kututukana matusi ya nguoni ila mimi nawatakia heri kwa moyo mkunjufu kabisa.

Go mtani, peperusha bendera vyema & make us proud.

Tanzania first, Tanzania above all.

Peace
Kwa hiyo sasa hivi mko watatu huko utopolo,hongera kwa kujitambua
 
Yanga kufungwa haikuwa uchovu, ila kushindwa kuwa na nidhamu ya kulinda.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na kwamba mmefurahia sana sisi kufungwa, wengine mkaenda mbali kwa kututukana matusi ya nguoni ila mimi nawatakia heri kwa moyo mkunjufu kabisa.

Go mtani, peperusha bendera vyema & make us proud.

Tanzania first, Tanzania above all.

Peace
Hadi huruma
 
Mimi nikiwa shabiki kindakindaki wa Asec nakiri wazi hatuwawezi Simba hasa wakiwa hapo Benjamin Mkapa.

Asec tujitahidi walau tufungwe magoli matatu tusiruhusu sana magoli
 
Naaam naam
Tunashukuru mweka thread wale wenzetu wamepakimbia kwao kule wamehamia huku naomba ukipata muda twende kule mara moja moja tukachochee moto 😁😁😁😁
 
Pamoja na kwamba mmefurahia sana sisi kufungwa, wengine mkaenda mbali kwa kututukana matusi ya nguoni ila mimi nawatakia heri kwa moyo mkunjufu kabisa.

Go mtani, peperusha bendera vyema & make us proud.

Tanzania first, Tanzania above all.

Peace
Nifah umenikosha sana. Kwa mtazamo huu nimewaza hata kukuoa, we ni wife matirio kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…