Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Una comment kama Simba fan leo, hivi kwa hicho kilemba chako kichwa we sio mwana lunyasi kweli?Pamoja na kwamba mmefurahia sana sisi kufungwa, wengine mkaenda mbali kwa kututukana matusi ya nguoni ila mimi nawatakia heri kwa moyo mkunjufu kabisa.
Go mtani, peperusha bendera vyema & make us proud.
Tanzania first, Tanzania above all.
Peace
Haya mzee wa supu na mabango...Nina starehe zaidi ya 11, unategemea niwe na akili za kimbumbumbu kama Mbumbumbu SC fans nife kizembe, hujui ugali wa dona ulivyo mtamu na sato wa kubanikwa [emoji848][emoji847]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hausiki na uwekaji mabango, unamuonea bure, zile ni akili za mzee mpili na mwenzie ally kamweWakati mnaweka mabango uliwaza hayo?
Ila ni ukweli ulio wazi leo mwamko umekuwa mdogo sana na viongozi wasidharau tena manung'uniko ya mashabiki. Haya ya leo ni matokeo ya malalamiko ya muda mrefu ambayo yameonekana kupuuzwa.Kama upo karibu na uwanja wa taifa mda huu nakupa taarifa kuingia ni bureee hapa nimeshaingia ndani watu wanaingia wengi kama wotee
Nyingi sana wanakufa.che malone 6 ndio inamfaa zaidi.Hiki Kikosi chetu tunahitaji Ushindi Kweli?
Mwenye link ya game hii naiomba
Shukrani bossكورة لايف | koora live | مباريات اليوم بث مباشر جوال kora live
كورة لايف,koora live,مشاهدة مباريات اليوم بث مباشر,live koora,بدون تقطيع عبر موقع كوره لايف,koora live 96,kooralive,لنقل المباريات لايف,koora live tv,لايف كورة,kora live1kooralive.live-kooora.com
Hapo uhakika mkuu, kwa uchezaji wa malone 6 atazima sanaHiki Kikosi chetu tunahitaji Ushindi Kweli?
Hapo boss game ya Simba ninaionaje?, nimeangalia kwenye orodha ya mechi zinazooneshwa/zitakazooneshwa sijaiona.كورة لايف | koora live | مباريات اليوم بث مباشر جوال kora live
كورة لايف,koora live,مشاهدة مباريات اليوم بث مباشر,live koora,بدون تقطيع عبر موقع كوره لايف,koora live 96,kooralive,لنقل المباريات لايف,koora live tv,لايف كورة,kora live1kooralive.live-kooora.com
Pamoja na kwamba mmefurahia sana sisi kufungwa, wengine mkaenda mbali kwa kututukana matusi ya nguoni ila mimi nawatakia heri kwa moyo mkunjufu kabisa.
Go mtani, peperusha bendera vyema & make us proud.
Tanzania first, Tanzania above all.
Peace
😃😃😃 Dah humu bana ushindwe kucheka mwenyewe tuNifah umenikosha sana. Kwa mtazamo huu nimewaza hata kukuoa, we ni wife matirio kabisa
Mbona ipo mkuuHapo boss game ya Simba ninaionaje?, nimeangalia kwenye orodha ya mechi zinazooneshwa/zitakazooneshwa sijaiona.
Msaada tafadhali