Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
UngewasaidiaWe asec mimosas, Umepigaje hapo?π
ZBC2Hamtaki kunijibu eee?
Kuku Nyie.
Naunga mkono hoja ππIla ni ukweli ulio wazi leo mwamko umekuwa mdogo sana na viongozi wasidharau tena manung'uniko ya mashabiki. Haya ya leo ni matokeo ya malalamiko ya muda mrefu ambayo yameonekana kupuuzwa.
Kufikia kufungulia mbwa ni mambo ya Yanga haya, wangeacha watu hao hao waliolipa waingie tupate taswira sahihi badala ya kufichaficha.
Pumba weweHamtaki kunijibu eee?
Kuku Nyie.
#nguvumoja#Che Malone anafanya kazi yake vizuri
Aminaaa..ZBC2
π€£π€£Najua wanatuombea mabaya tu...