Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Unadhani wiki hii watalala katika mikao gani?Naona wametingwa kushangilia sare!! Yaani hata hawaamini.
Kabisa, magoli yamekoswa mengi mnoKilichokosekana kwa simba ni bahati tu.
Si mlisema Simba haina bsi, sasa dereva wa basi gani tena? 😂😂😂
Na ana kadi ya Makolokolo kabisa [emoji4]Bahkresa ni mwanachama wa Simba damudamu
Alikuwa anaiokoa Simba kivipi?Pia haikuwa offside alikuwa anaiokoa Simba
Hahaaaaaaaaaaa
na zile hisa za 20B yeye alizipandia hadi 25B, ila akafanyiwa zengwe 😁Bahkresa ni mwanachama wa Simba damudamu
Kisu kwenye mfupa hicho, waliosoma chini ya mkuyu wamenielewa [emoji16]Ndio nini sasa hii?
Yaani nyie Uto hata sare nayo inawapa matumbo joto..Tunawaambia mbona tutarudi tu hata kama kwa baadaye huko, au msimu mwingine...NguvuMoja [emoji123][emoji881]Abdallah Heri Sebo atakuwa amepokea bahasha bila shaka. Hawezi kujifunga kirahisi vile. Au nasema uongo mashabiki wa simba?
Sana tulifika sana na on target zimeonekanaTumedhulumiwa ushindi kutokana na ubora wa Kipa wa upinzani