FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Si mlisema Simba haina bsi, sasa dereva wa basi gani tena? 😂😂😂
Screenshot_20230221-211414.jpg
 
Huyu Bocco tukubali tumemshindwa. Akiamua acheze tu hadi atimize miaka 80, tunampenda sana.
 
Hili litimu la hovyo sana tatizo ubahili ingekuwa na pesa ingeweza walau kumchukua mshambuliaji kama Mudathir badala yake wanaenda kuchukua wazee sijui Baleko sijui Baloko😀
 
Abdallah Heri Sebo atakuwa amepokea bahasha bila shaka. Hawezi kujifunga kirahisi vile. Au nasema uongo mashabiki wa simba?
Yaani nyie Uto hata sare nayo inawapa matumbo joto..Tunawaambia mbona tutarudi tu hata kama kwa baadaye huko, au msimu mwingine...NguvuMoja [emoji123][emoji881]
 
Back
Top Bottom