John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Huo upande kama utageukia kwangu yatosha mamaπ
Mtumeni Manula akaombe radhi kwa Dume..!! Halafu Kalpana lile goli la Dube, hivi kuna timu imefungwa mapema zaidi hapa duniani kama ilivyokuwa kwa Simba leo? Maana isije ikawa mmejiwekea rekodi ya dunia ya timu iliyowahi kufungwa mapema zaidi dunianiKachanjiwa kwa ajili ya Simba tuu yule fwala
Yeah, kibiashara zaidiLazima amsapoti JK
Mtumeni Manula akaombe radhi kwa Dume..!! Halafu Kalpana lile goli la Dube, hivi kuna timu imefungwa mapema zaidi hapa duniani kama ilivyokuwa kwa Simba leo? Maana isije ikawa mmejiwekea rekodi ya dunia ya timu iliyowahi kufungwa mapema zaidi dunianiLa
Eee utetezi wa mapema, sasa utapata wapi nikupendaye kama mimi?Umeanza sasa πππππ
At first nlkua namtete ila kwa sasa hapana asee atoke tuRobertino out
KIBU D ni mayele mtupuuuuu
Itakua sio kofia yangu, friends of Azam tupo mapumziko tunalamba tu ice cream πKwani Evelyn Salt unatype nini hiko maama toka nione kofia hapo ni mudaaa πππ
Bila shaka humu JF hakuna...ila ww ni rafiki wa wengi huna baya...tunakupenda piaEee utetezi wa mapema, sasa utapata wapi nikupendaye kama mimi?
Sio kusaidia kuzidiwaMakolo mko na bahati sana Leo, ilikuwa mnachapwa,, beki wa Azam kawasaidia sana dadeq
Yesterday I told you and I kindly repeat it that once you will know the real meaning of a sentence "The secret mission behind the scenes" you will surely come here and thank me ... [emoji28]Hii timu ilienda Dubai kufanya nini?
Hawa si tuliwapiga mkono..wanatembelea nyota ya wenzaoπππππ
View attachment 2525532
Itakua server inakupenda maana upo nyuma ya Chukwu emeka muda mnatype au kwangu imeganda??? πππItakua sio kofia yangu, friends of Azam tupo mapumziko tunalamba tu ice cream π
Waliozowea uchawi kila kitu kiuchawi tu yaani..!! Kweli Kalpana lile goli hujalielewa?Hakuna goli pale ni kiiini macho hahahha
FT 1-1 magoli yote yamefungwa na wachezaji wa AZAM
Kwani wewe ni mgeni wa Jiji la Darusalaam.Alisemaje mkuu
Lakini upendo wao ni tofauti na nikupendavyo weweπ€£Bila shaka humu JF hakuna...ila ww ni rafiki wa wengi huna baya...tunakupenda pia
Kula bata unatesekaHii timu ilienda Dubai kufanya nini?