FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

Kwa namna kikosi kinavyopangwa ni dhahiri kuwa bado Matola ana influence kubwa kwenye timu....

Kama timu imeshindwa kuleta kocha mpya mpaka muda huu basi wamuachia timu moja kwa moja Mgunda ili awe huru na timu tuone falsafa zake....
Naunga mkono hoja

Wampe timu, wamletee na wachezaji.

Anaweza kuonesha jambo
 
Kama Simba imefungwa na timu kutoka Djibut As Atra inaweza vipi kuifunga Zalaani!!!
 
Kama Simba imefungwa na timu kutoka Djibut As Atra inaweza vipi kuifunga Zalaani!!!
Ishu sio timu ya wapi, ishu ni ubora wa timu husika

Mechi yenu ya kwanza ambapo mlikiwa wageni mimi sikuiangalia

Jana wakati ndio mpira unataka kuanza nikashangaa kuona vijana wenye miili dhaifu sana

Upande nilokuwa nimekaa kulikuwa na jirani yangu yeye ni Daktari, akaniambia hao wagonjwa wa unyafuzi wameingia kutafuta nini humo uwanjani na sheria zinasema vipi kuhusu hili?

Baadaye nikashangaa wakitambulishwa kuwa hao ndio Zalan, nilichoka.
 
Vip nyinyi Simba ambao mna Afya imejaa tele tunavyo wapasua shida inakua ni Nini?
 
Unajionaga una akili sana , kwahiyo unajisahaulisha kuwa Yanga imekufunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…