Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Au kunyooka ndiyo upo poa?[emoji3]Nimenyooka mwanangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au kunyooka ndiyo upo poa?[emoji3]Nimenyooka mwanangu
Vip nyinyi Simba ambao mna Afya imejaa tele tunavyo wapasua shida inakua ni Nini?
Nyie viande ile ni derby, Derby ina mambo mengi, unaweza ukawa na wachezaji wazuri na ukapoteza mechi au ukashindwa kupata matokeoUnajionaga una akili sana , kwahiyo unajisahaulisha kuwa Yanga imekufunga
Unataka nipinde?Nini kimekunyoosha tena Mzee???
EwaaaAu kunyooka ndiyo upo poa?[emoji3]
Hapa mwendo mmeumaliza, mtarudi Tena shirikisho, tunza hii comment.Primeiro de Agosto 1 - 1 Red Arrows 31"
(aggregate 2-1)
Sasa Kwa akiliyako timamu unaamini kikosi iki Cha Simba kinaweza kupata matokeo Kwa Yanga hii!! Hii ndio Simba mbovu kabisa Kwa kipindi hiki Cha karibuni kama itacheza Kwa jitihada kubwa sana labda wapate sare lakini ilo silioni likitokea.Nyie viande ile ni derby, Derby ina mambo mengi, unaweza ukawa na wachezaji wazuri na ukapoteza mechi au ukashindwa kupata matokeo
Katika kile kipindi ambacho Yanga ilikuwa mbovu sana, mlitufunga goli moja kwa Morrison
Wakati huo ukumbuke sisi tuna kikosi bora na kipana kuliko nyinyi.
Tukaja kwenye mzunguko wa pili tukawapiga goli mbili kipindi cha kwanza, kipindi cha pili mkarudisha zote na mechi kuisha ikiwa ni sare.
Hizo zote ni mechi za msimu mmoja na kikosi kimoja huku nyinyi mkiwa na kikosi kibovu lakini bado hatukuweza kuwafunga.
Kuwa na kikosi kizuri au wachezaji bora bado kwenye ishu ya Derby sio kitu cha kutegemea sana kwenye matokeo positive ya mwisho
Over confidence inaweza kukufanya upoteze mchezo huku upande wa pili ile Jihad ya kuona wao ni dhaifu hivyo wakajituma kwa nguvu zote wanaweza kupata ushindi dhidi ya timu bora.
Hata tulivtofungwa hapa na Jwaneng Galaxy msimu uliopita, haikuchangiwa na ubovu wa kikosi ilikuwa ni over cinfidence.
Wakati wapinzani walikuja kucheza Jihad na kwa bahati mbaya au nzuri wenzetu wakashinda.
Hizi References zenu za Derby ni ishara jinsi gani wengi wenu hamshirikishi ubongo, juzi hapo Man U kamfunga Arsenal licha ya kwamba Arsenal ni bora zaidi ya Man kwa msimu huu lakini ubora wake haukumsaidia japo kuwa mpira walicheza sana na kufanya mashambulizi mengi.
sio CAF CLVip nyinyi Simba ambao mna Afya imejaa tele tunavyo wapasua shida inakua ni Nini?
lakini baadae usije ukasema ni timu nyepesiHapa mwendo mmeumaliza, mtarudi Tena shirikisho, tunza hii comment.
Kwaiyo una amini Kwa Simba hii iliyo oza akikutana na Yanga kwenye Caf champion league itaifunga Yanga!!!sio CAF CL
lakini baadae usije ukasema ni timu nyepesi
Achana na bwege hiloUnajua ni nchi 12 tu zinaingiza teams 4? Hizo nafasi 2 extra kaleta nani au mayelle?
Hilo unalijuwa wewe, Yanga inashiriki club bingwa Kwa sababu ndio mabingwa wa nchi.Unajua ni nchi 12 tu zinaingiza teams 4? Hizo nafasi 2 extra kaleta nani au mayelle?
Hebu bong'owa nikuoneshe ubwege wangu tutusa wahed wewe.Achana na bwege hilo
Unaonekana una tatizo la uelewaSasa Kwa akiliyako timamu unaamini kikosi iki Cha Simba kinaweza kupata matokeo Kwa Yanga hii!! Hii ndio Simba mbovu kabisa Kwa kipindi hiki Cha karibuni kama itacheza Kwa jitihada kubwa sana labda wapate sare lakini ilo silioni likitokea.
Simba anaenda kucheza shirikisho lini? Naona anapoteza muda.Nyie viande ile ni derby, Derby ina mambo mengi, unaweza ukawa na wachezaji wazuri na ukapoteza mechi au ukashindwa kupata matokeo
Katika kile kipindi ambacho Yanga ilikuwa mbovu sana, mlitufunga goli moja kwa Morrison
Wakati huo ukumbuke sisi tuna kikosi bora na kipana kuliko nyinyi.
Tukaja kwenye mzunguko wa pili tukawapiga goli mbili kipindi cha kwanza, kipindi cha pili mkarudisha zote na mechi kuisha ikiwa ni sare.
Hizo zote ni mechi za msimu mmoja na kikosi kimoja huku nyinyi mkiwa na kikosi kibovu lakini bado hatukuweza kuwafunga.
Kuwa na kikosi kizuri au wachezaji bora bado kwenye ishu ya Derby sio kitu cha kutegemea sana kwenye matokeo positive ya mwisho
Over confidence inaweza kukufanya upoteze mchezo huku upande wa pili ile Jihad ya kuona wao ni dhaifu hivyo wakajituma kwa nguvu zote wanaweza kupata ushindi dhidi ya timu bora.
Hata tulivtofungwa hapa na Jwaneng Galaxy msimu uliopita, haikuchangiwa na ubovu wa kikosi ilikuwa ni over cinfidence.
Wakati wapinzani walikuja kucheza Jihad na kwa bahati mbaya au nzuri wenzetu wakashinda.
Hizi References zenu za Derby ni ishara jinsi gani wengi wenu hamshirikishi ubongo, juzi hapo Man U kamfunga Arsenal licha ya kwamba Arsenal ni bora zaidi ya Man kwa msimu huu lakini ubora wake haukumsaidia japo kuwa mpira walicheza sana na kufanya mashambulizi mengi.
Kwakua unaamini kwasasa Simba wako vizuri, tusubiri jumapili tarehe 23 October.Unaonekana una tatizo la uelewa
Nimekuambia Derby ni mechi ambayo huamuliwa kwa vitu vingi nimekupa na mifano hapo inayoonesha Simba alikuwa na kikosi kizuri na Ya ga mlikuwa wabovu na bado tukapoteza mechi
Nikija kujibu swali lako, ni yeah Simba anakikosi kizuri tena sana tu.
Kama ifatilia ile last Derby walivyotoa linesups kwa timu zote mbili, mimi nilikuwa wakwanza kutabiri Simba kufungwa kwa ile mechi
Wachezaji muhimu walikosekana akiwemo phiri, waliopata nafasi wengine walipangwa katika position ambazo sio mfumo wao
Sub walizofanya zilikuwa za kijinga na ndio maana watu walikuwa wakimlaumu matola.
Hata wewe unaona namna Simba inavyocheza sasa ni tofauti na ile mechi ya Derby ambayo tulicheza
Hahaa.. hivi vitu ukoloni hamjavizoea yan JD unaona ni big deal kiasi mtu kusema ni ajabuHamna mtu anapata JD akajitangaza,JD ina watu wake bwana ,uto wewe endelea na matapu tapu yako tu[emoji3][emoji3]