Jwaneng Galaxy muda wake wa kusumbua umeisha, hapa Tz ni lazima akae.Naona Assec mimosa anaongoza goli mbili bila na mpira umeisha.......Hii game ya Assec na Jwaneng Galaxy nilitamani sana matokeo yake yawe droo,ila naona galaxy anatupa wakati mgumu sana sie simba mechi ijayo na assec ni kushinda tu na sio kudroo nao
Sare tu tumeteleza sisi tukishinda hiyo ni extra kwaajili ya kuongoza kundiNaona Assec mimosa anaongoza goli mbili bila na mpira umeisha.......Hii game ya Assec na Jwaneng Galaxy nilitamani sana matokeo yake yawe droo,ila naona galaxy anatupa wakati mgumu sana sie simba mechi ijayo na assec ni kushinda tu na sio kudroo nao
Yaan shangazii mwanao angenuniwa week nzima.[emoji23][emoji23][emoji23]Ila aunt umeshindikana kwaiyo tungepigwa mwanangu angekula Kwa macho
hujambo bintiYaan shangazii mwanao angenuniwa week nzima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huwa ananiuliza "kwahiyo simba na mimi unapenda sana simba?"
Namjibu kiufupi "ulinikuta na Simba na utaniacha nayo" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan unaniudhigii wee hujui tyuuh.Raha ya ushabiki ni kumkera mpinzani wako bila kumuudhi wala kumvunjia heshima...
Kama huwa unakereka basi safari ijayo tukiwakanda khamsa aka 5G utanikoma [emoji16][emoji16][emoji16]
Sijamboo vipi wee mzee??hujambo binti
safi tuh... ccm hoyeSijamboo vipi wee mzee??
Kivipi tutapita sare 1 na ushindi 1 kwenye mechi mbili zilizobaki? Je Wydad akishinda mechi zote mbili si inakuwa points 9? Naomba ufafanuziSare tu tumeteleza sisi tukishinda hiyo ni extra kwaajili ya kuongoza kundi
πππMtoto jeuri wewYaan shangazii mwanao angenuniwa week nzima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huwa ananiuliza "kwahiyo simba na mimi unapenda sana simba?"
Namjibu kiufupi "ulinikuta na Simba na utaniacha nayo" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kivipi tutapita sare 1 na ushindi 1 kwenye mechi mbili zilizobaki? Je Wydad akishinda mechi zote mbili si inakuwa points 9? Naomba ufafanuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Woyeeeeesafi tuh... ccm hoye
Anaanza mechi ya ugenini na Jwaneng halafu anamaliza nyumbani kwake na AsecAnamechi wap na wapβwydad ?
Mchezo wa mpira huwa una matokeo ya kushangaza sana. Tutashangazwa kwa Wydad kushinda game zake zote mbili zilizosalia dhidi ya Asec na Galaxy. Halafu Simba kushinda Moja dhidi ya Galaxy .Naona Assec mimosa anaongoza goli tatu bila na mpira umeisha.......Hii game ya Assec na Jwaneng Galaxy nilitamani sana matokeo yake yawe droo,ila naona galaxy anatupa wakati mgumu sana sie simba mechi ijayo na assec ni kushinda tu na sio kudroo nao
π π π π π π natamani nikupe konzi..πππ₯π
Hatuangalii matokeo ya timu nyingine! Kila mtu ashinde mechi zake!!Mchezo wa mpira huwa una matokeo ya kushangaza sana. Tutashangazwa kwa Wydad kushinda game zake zote mbili zilizosalia dhidi ya Asec na Galaxy. Halafu Simba kushinda Moja dhidi ya Galaxy .